多彩な 英語 講師陣から検索…
Sandbag
First notebook entry: Introducing myself Habari gani? Jina langu ni Shaun. Ninatoka Uingereza. Mimi ni mwanafunzi. Ninasoma katika cho kikuu cha Royal Holloway (University of London). Pia, nina Miyaka ishirini na sita. Sasa, ninaishi katika Kisumu hapa. Kisumu ni mahali pazuri, lakini kuna machizi wengi huku. Kuna ziwa karibu na mji na watu wengi wanavua samaki hapo. Basi, ninajifunza kuongea kiswahili, lakini, sijajifunza kuongea kiswahili vizuri bado. Mimi, ninapojifunza kiswahili nisahau maneno nyingi kwa vile nipata lugha wa kiswahili ngumu. Walaking, nitajaribu kuza maarifa yangu. Basi, nina mwalimu anayenifunza kusema kiswahili.
2012年12月19日 19:57
訂正 · 3

First notebook entry: Introducing myself

Habari gani? Jina langu ni Shaun. Ninatoka Uingereza. Mimi ni mwanafunzi. Ninasoma katika cho kikuu cha Royal Holloway (University of London). Pia, nina Miyaka miaka ishirini na sita. Sasa, ninaishi katika Kisumu hapa. Kisumu ni mahali pazuri, lakini kuna machizi wakora wengi huku. Kuna ziwa karibu na mji na watu wengi wanavua samaki hapo. Basi, ninajifunza kuongea kiswahili, lakini, sijajifunza kuongea kiswahili vizuri bado. Mimi, ninapojifunza kiswahili ninasahau maneno nyingi mengine kwa vile nipata ninaona lugha wa ya kiswahili ni ngumu. WalakingLakini, nitajaribu kukuza maarifa yangu. Basi, Nina mwalimu anayenifunza kusema Kuongea Kiswahili.

2013年4月19日

Habari gani? Jina langu ni Shaun. Ninatoka Uingereza. Mimi ni mwanafunzi. Ninasoma katika cho kikuu cha Royal Holloway (University of London). Pia, nina Miyaka ishirini na sita.

-> miaka

 

Sasa, ninaishi katika Kisumu hapa.

 

<Native spearkers sometimes pointed me I should not use "katika" like that.

Actually I am not sure when I should use "katika", though it is easy word.>

 

Kisumu ni mahali pazuri, lakini kuna machizi wengi huku. Kuna ziwa karibu na mji na watu wengi wanavua samaki hapo. Basi, ninajifunza kuongea kiswahili, lakini, sijajifunza kuongea kiswahili vizuri bado.

 

<"Nimejifunza kiswahili, lakini bado sijaongea vizuri." is better.>

 

Mimi, ninapojifunza kiswahili nisahau maneno nyingi kwa vile nipata lugha wa kiswahili ngumu.

 

<hmm...

"Hata nikijaribu kukumbuka maneno, baada ya muda, maneno yote yatatoka, kwa sababu kiswahili ni kigumu." is better.>

 

Walaking,

 

<I don't know this word, sorry.>

 

nitajaribu kuza maarifa yangu. Basi, nina mwalimu anayenifunza kusema kiswahili.

 

<if you would like to say "I tried to show my information.

Anyway, I should get a teacher who will teach me how to speak in swahili"

or something,

"Nimejaribu kuonesha taarifa yangu. Basi,

nikapate mwalimu atakayenifundisha namna ya kuongea kiswahili" is better>

 

2013年1月26日
Asante kwa kuweka hio posti ( thank you for posting) Well i can help you learn Swahili better through Skype. i have a white board with high resolution camera and clear mic. i can teach you from basic conversational Swahili to professional level, i am Kenyan National residing in Philippines. Hope to make language partners with you. Thanks
2013年1月15日
もっと早く上達したいですか?
この学習コミュニティに参加して、無料の練習問題を試してください!

ご自宅で快適に語学を学べるチャンスをお見逃しなく。経験豊富な語学講師陣の中からお選びいただき、今すぐ最初のレッスンにお申し込みください!