多彩な 英語 講師陣から検索…
yaeli.cohen
hujambu, jina langu ni Yaeli. ninajifunza kiswahili chuoni kikuo lakini ninataka kufanya kazi na kukaa katika africa. lugha yangu ni kihebrania, ninakaa Israel.
2013年1月7日 15:48
訂正 · 3

hujambu, jina langu ni Yaeli.

Ninajifunza Kiswahili chuoni kikuo /katika chuo kikuu lakini ninataka kufanya kazi na kukaa katika afrika. Lugha yangu ni Kihebrania, ninakaa Israel.

2013年4月19日

Umeandika vizuri.

hujambu, jina langu ni Yaeli.

-> hujambo

 

ninajifunza kiswahili chuoni kikuo

-> katika chuo kikuu

or

-> chuoni

 

lakini ninataka kufanya kazi na kukaa katika africa.

lugha yangu ni kihebrania, ninakaa Israel.

<hamna kosa>

2013年1月26日
Ningependa nikusaidie kujifunza kiswahili ( i would like to help you learn Swahili ) and give you the latest economic and political views of Africa. Asante
2013年1月15日
もっと早く上達したいですか?
この学習コミュニティに参加して、無料の練習問題を試してください!

ご自宅で快適に語学を学べるチャンスをお見逃しなく。経験豊富な語学講師陣の中からお選びいただき、今すぐ最初のレッスンにお申し込みください!