多彩な 英語 講師陣から検索…
B King
First notebook entry: Introducing myself
Hujambo! Jina langu ni Ben. Mimi ninajifunza Kiswahili sababu mimi ninataka kusafiri Tanzania na Kenya.
Mimi ninasema Kiingereza lakini mimi nilizaliwa katika Marekani. Sasa, mimi ninakaa Athens, GA.
Mimi ninapenda kusoma Kiswahili, kucheza futboli, na wikendi ninapenda kulala. Mimi ninasoma jiografia na anthropolojia katika chuo kikuu cha Georgia.
2013年2月13日 08:17
訂正 · 1
First notebook entry: Introducing myself
Hujambo! Jina langu ni Ben. Mimi ninajifunza Kiswahili kwa sababu mimi ninataka kusafiri Tanzania na Kenya.
Mimi ninasema ninaongea Kiingereza lakini mimi nilizaliwa katika Marekani. Sasa, mimi ninakaa Athens, GA.
Mimi ninapenda kusoma Kiswahili, kucheza futboli, na wikendi ninapenda kulala. Mimi ninasoma jiografia na anthropolojia katika chuo kikuu cha Georgia.
Vizuri sana.
2013年4月19日
もっと早く上達したいですか?
この学習コミュニティに参加して、無料の練習問題を試してください!