Amy
Nitaangalia movie wa "Nairobi Half Life" Nataka kujifunza Kiswahili kwa kuangalia movie. Namatumaini movie hii ni nzuri! Unapenda movie (wa Kiswahili) nini?
2014年5月14日 18:15
訂正 · 1
Jambo, Mimi ni Willy kutoka Kenya (i'm willy from kenya) Natumai bado wajifunza swahili, unaweza kusema sasa? (i hope you are still learning swahili, can you speak it now?) Kuna cinema nyingi nzuri za kiswahili, kama ungetaka ningekusaidia kusoma kiswahili (if you would like i would assist with your swahili) Natumai kusiskia kutoka kwa (i hope to hear from you)
2015年5月28日
もっと早く上達したいですか?
この学習コミュニティに参加して、無料の練習問題を試してください!