Stephen
Jina langu ni Stephen Hujambo? Sijambo, jina langu ni Stephen. Jina lako nani? Nafurahi kukufahamu. Nina miaka ishirini na miwili. Una miaka mingapi? Ninatoka na ninakaa Manchester katika Uingereza. Unakaa wapi? Ninasoma isimu katika chuo kikuu cha Manchester. Nilisoma Kifaransa na Kirusi katika Bristol. Ninapenda lugha ya kigeni na nimesoma Kicheki, Kireno, Kiswidi na Kituruki. Sijasema Kiswahili lakini ninataka kukijifunza. Unasema Kiswahili?
2015年6月24日 21:19
訂正 · 3
2

Jina langu ni Stephen

Hujambo? Sijambo, jina langu ni Stephen. Jina lako nani? Nafurahi kukufahamu. Nina miaka ishirini na miwili. Una miaka mingapi? Ninatoka na ninakaa Manchester katika Uingereza. Unakaa wapi? Ninasoma isimu katika chuo kikuu cha Manchester. Nilisoma Kifaransa na Kirusi katika Bristol. Ninapenda lugha ya kigeni na nimesoma Kicheki, Kireno, Kiswidi na Kituruki. Sijasema Kiswahili lakini ninataka kukijifunza. Unasema Kiswahili?

 

it's nearly perfect Stephen except in the last line

"sijasema kiswahili" should have been "sijui kuongea kiswahili/siongei kiswahili"

"kukijifunza" if not just a typo should have been "kujifunza"

 

Sema- usually means say

Ongea - speak

2015年6月28日

Jina langu ni Stephen

Hujambo? Sijambo, jina langu ni Stephen. Jina lako ni nani? Namefurahi kukufahamu. Nina miaka ishirini na miwili. Una miaka mingapi? Ninatoka na ninakaa Manchester katika Uingereza. Unakaa wapi? Ninasoma isimu katika chuo kikuu cha Manchester. Nilisoma Kifaransa na Kirusi katika Bristol. Ninapenda lugha ya kigeni na nimesoma Kicheki, Kireno, Kiswidi na Kituruki. Sijasema Sijui Kiswahili lakini ninataka kukijifunza. Unasema (au unajua) Kiswahili?

 

Nicely done!

 

 

2015年11月5日
もっと早く上達したいですか?
この学習コミュニティに参加して、無料の練習問題を試してください!
Stephen
言語スキル
チェコ語, 英語, エスペラント語, フランス語, ポルトガル語, ロシア語, スワヒリ語, スウェーデン語, トルコ語
言語学習
チェコ語, スワヒリ語, スウェーデン語, トルコ語