sea.piglet
Swahili practice Kabla hatujaenda nyumbani tupate pesa kidogo. Kabla hujaondoka Tanazania ununue maembe. Kwa kawaida mimi hukula maembe kila asubuhi. Amekuwepo soko? Ndiyo, alinunua nanasi. Nilikuwako Taiwan na nilikunywa chai nyingi. Tutakuwemo posta kwasababu tutapeleka barua. Tukiwa na nafasi tutasema naye. Nikisoma magazeti ninaweza kusema kwa hadithi. Akiondoka sasa hivi atafika masaa matano. Nisipokutembelea katika Novemba sitaona mtoto yako. Msipojifunza namna ya kusoma Kiswahili mtakisahau.
2015年10月19日 13:15
訂正 · 1
Hongera ,umejitahidi sana
2016年1月4日
もっと早く上達したいですか?
この学習コミュニティに参加して、無料の練習問題を試してください!