多彩な 英語 講師陣から検索…
[削除されました]
Nyakati/Tenses Habari, Leo tutajifunza wakati uliopo, wakati uliopita na wakati ujao katika Kiswahili. Today we are going to learn the simple present, simple past and simple future tenses in Swahili. Nitatumia vitenzi virahisi. I am going to use these easy and regular verbs: kupenda (to like/love), kulala (to sleep), kuongea (to speak) and a noun, kesho (tomorrow). Kwa maswali, kuwa huru kunitumia ujumbe. For any questions, feel free to message me. Asu.
2016年7月26日 09:50

ご自宅で快適に語学を学べるチャンスをお見逃しなく。経験豊富な語学講師陣の中からお選びいただき、今すぐ最初のレッスンにお申し込みください!