Hujambo kila mtu, mimi ni mwanafunzi muundo wa mitindo Mmarekani, kwa sasa anasoma Kiswahili.
kusikiliza nyimbo inasaidia sana kusoma lugha. Unaweza kupendekeza nyimbo yoyote?
Asante sana! x
다양한 영어 선생님을 검색해 보세요...
교정 · 3
0
Hamjambo nyote, mimi ni mwanafunzi Mmarekani wa muundo na mitindo, kwa sasa nasoma Kiswahili.
kusikiliza nyimbo kunasaidia sana kusoma lugha. Unaweza kupendekeza nyimbo zozote?
Asante sana! x
Hujambo Tye, nyimbo za "Taarab" hutumia lugha ya Kiswahili kwa ufasaha na kwa kuzisikiliza utaweza kuimarisha ujuzi wako katika lugha. Nyimbo hizi zaweza kupatikana katika mtandao wa " YouTube", natumai utaweza kusaidika
0
Hujambo kila mtu, mimi ni mwanafunzi muundo wa mitindo Mmarekani, kwa sasa
anasoma Kiswahili. kusikiliza nyimbo inasaidia sana kusoma lugha. Unaweza
kupendekeza nyimbo yoyote? Asante sana! x
Hujambo Tye.
Mimi pia ni mwalimu wa Kiswahili na ninaweza kukusaidia kukinata.
Hi Tye
I'm also a Swahili tutor. I can help you grasp it. Be sure to join my lessons 😊
0
Hujambo kila mtu, mimi ni mwanafunzi wa muundo mitindo Mmarekani, kwa sasa
ninasoma Kiswahili. kusikiliza nyimbo husaidia sana kusoma lugha. Unaweza
kupendekeza wimbo wowote/ nyimbo zozote? Asante sana!
더 빨리 진행하고 싶나요?
이 학습 커뮤니티에 참여하고 무료로 연습해보세요!
집에서 편안하게 언어를 배울 수 있는 기회를 놓치지 마세요. 경험 많은 강사진을 살펴보고 지금 바로 첫 수업을 신청하세요!
오늘 학습 시작하기
