Search from various 영어 teachers...
B King
First notebook entry: Introducing myself Hujambo! Jina langu ni Ben. Mimi ninajifunza Kiswahili sababu mimi ninataka kusafiri Tanzania na Kenya. Mimi ninasema Kiingereza lakini mimi nilizaliwa katika Marekani. Sasa, mimi ninakaa Athens, GA. Mimi ninapenda kusoma Kiswahili, kucheza futboli, na wikendi ninapenda kulala. Mimi ninasoma jiografia na anthropolojia katika chuo kikuu cha Georgia.
2013년 2월 13일 오전 8:17
교정 · 1

First notebook entry: Introducing myself

Hujambo! Jina langu ni Ben. Mimi ninajifunza Kiswahili kwa sababu mimi ninataka kusafiri Tanzania na Kenya.

Mimi ninasema ninaongea Kiingereza lakini mimi nilizaliwa katika Marekani. Sasa, mimi ninakaa Athens, GA.

Mimi ninapenda kusoma Kiswahili, kucheza futboli, na wikendi ninapenda kulala. Mimi ninasoma jiografia na anthropolojia katika chuo kikuu cha Georgia.

 

Vizuri sana.

2013년 4월 19일
더 빨리 진행하고 싶나요?
이 학습 커뮤니티에 참여하고 무료로 연습해보세요!

집에서 편안하게 언어를 배울 수 있는 기회를 놓치지 마세요. 경험 많은 강사진을 살펴보고 지금 바로 첫 수업을 신청하세요!