Nevin Janzen
Yote kuhusu yangu Nitafasiri toka Kiingereza kwa Kiswahili: "Greetings, my name is Nevin Janzen and I am a language enthusiast. I am from the province of Alberta, Canada and I have been learning Swahili (Standard/Tanzanian) for almost 4 months. I would love to learn Esperanto and Canadian (Québec) French over the next year as well. I have a passion for communicating with people from other cultures and languages. Best regards, Nevin" Hujambo, jina langu ni Daudi Zekaria na mimi ni mshabiki wa lugha. Natoka mkoa Alberta, Kanada na nimejifunza Kiswahili cha Tanzania kwa karibu miezi minne. Ningependa kujifunza Kiesperanto na Kifaransa cha Kanada katika mwaka ujao pia. Nina shauku ya kuzungumza kwa watu wa tamaduni mbalimbali na lugha. Shikamoo, Daudi Asante sana kwa kusaidia mimi! Heri zote!
2013년 12월 1일 오전 3:16
교정 · 5
1

Yote kuhusu yangu


Yote kunihusu (All about myself)

Nitafasiri toka Kiingereza kwa Kiswahili:

Nitatafsiri kutoka Kiingereza hadi Kiswahili: (I'll translate from English to Kiswahili:)


"Greetings, my name is Nevin Janzen and I am a language enthusiast. I am from the province of Alberta, Canada and I have been learning Swahili (Standard/Tanzanian) for almost 4 months. I would love to learn Esperanto and Canadian (Québec) French over the next year as well. I have a passion for communicating with people from other cultures and languages.
Best regards,
Nevin"

"Hujambo Hamjamboni, jina langu ni Daudi Zekaria Nevin Janzen na mimi ni mshabiki wa lugha. Natoka Nitokako ni mkoa wa Alberta, Kanada na nimejifunza nimekuwa nikijifunza Kiswahili cha Tanzania kwa karibumiezi minne. Ningependa kujifunza Kiesperanto na Kifaransa cha Kanada pia katika mwaka ujaopia. Nina shauku ya kuzungumza kwa kuwasiliana na watu wa tamaduni na lugha mbalimbali na lugha.
Shikamoo Nikiwatakia mema kabisa,
Daudi Nevin."

Asante sana kwa kusaidia mimi kunisaidia! Heri zote!

2013년 12월 1일
더 빨리 진행하고 싶나요?
이 학습 커뮤니티에 참여하고 무료로 연습해보세요!