Mwalimu Hamdy
전문 강사
Wanafunzi wangu Nimefundisha wanafunzi kutoka Urusi, Brazili, Uingereza, Amerika. Ningependa sana kupata wanafunzi wa Kiswahili kutoka Asia. Karibuni sana wanafunzi kutoka Dunia nzima.
2014년 10월 5일 오후 3:50