Tony Starks
Sentensi baadhi Ndege ya Brooklyn inaondoka lini? Sinajua lakini nafikiri iliondoka mchana. Pole Watoto watafika wakati gani? Watafika jioni. Watawapa chakula cha bahari. Samaki. Leo nitakusimulieni kisa kijerumani. Inaitwa Dornröschen Kesho kutwa nitakusimulieni visa vijerumani viwili. Sikilizeni vizuri. Leo mimi nakula pilau. Mimi nakipenda sana. Chukua kitabu hiki. Ni kitabu kukujifundisha swahili. / Ni kitabu cha kujifundisha swahili Sina haja nitakichukua. Ahsante sana
2015년 4월 1일 오후 12:38
교정 · 2
sentensi ya kwanza haina makosa,natatuwa ile inamakosa Leo nitakusimulia kisa cha ujerumani kinacho itwa Dornroschen kesho kutwa nitakusisimulia visa vya ujerumani (kesho kutwa nitawasisimulia visa vya ujerumani) Ni kitabu cha kujifundisha swahili
2015년 4월 1일

Sentensi baadhi

Ndege ya Brooklyn inaondoka lini?
Sinajua lakini nafikiri iliondoka mchana. Pole

Watoto watafika wakati gani?
Watafika jioni. Watawapa chakula cha bahari. Samaki.

Leo nitakusimulieni kisa kijerumani. Inaitwa Dornröschen
Kesho kutwa nitakusimulieni visa vijerumani viwili.
Sikilizeni vizuri.

Leo mimi nakula pilau. Mimi nakipenda sana.

Chukua kitabu hiki. Ni kitabu kukujifundisha swahili. / Ni kitabu cha kujifundisha swahili
Leo sina haja nitakichukua kesho.


Ahsante sana

2015년 4월 1일
더 빨리 진행하고 싶나요?
이 학습 커뮤니티에 참여하고 무료로 연습해보세요!