sea.piglet
Tense and vocab practice Mwezi uliopita mtoto alilia lakini kesho atalia. Mimi ninakula ndizi. Jana wanafunzi walitazama filamu lakini kesho wataenda kazini. Yeye anapenda kula kuku lakini anapenda kula samaki pia. Jana sisi tulikunywa kahawa lakini kesho tutataka kunywa chai.
2015년 6월 20일 오전 12:05
교정 · 4
Vizuri sana Beki. Keep it up. Proud of you :)
2015년 8월 7일

Tense and vocab practice

Mwezi uliopita mtoto hakulia,lakini kesho atalia.
Mimi ninakula ndizi.
Jana wanafunzi walitazama filamu lakini kesho wataenda kazini.
Yeye anapenda kula kuku lakini anapenda kula samaki pia.
Jana sisi tulikunywa kahawa lakini kesho tutataka kunywa chai.

2015년 8월 1일

Tense and vocab practice

Mwezi uliopita mtoto alilia,lakini kesho hatalia.

Mimi ninakula ndizi.
Jana wanafunzi walitazama filamu, lakini kesho wataenda kazini.
Yeye anapenda kula kuku na samaki.
Jana  tulikunywa kahawa, lakini kesho tutataka kunywa chai.

2015년 7월 28일
hello.i want tomake friend with you
2015년 6월 20일
더 빨리 진행하고 싶나요?
이 학습 커뮤니티에 참여하고 무료로 연습해보세요!