Search from various 영어 teachers...
[삭제됨]
Sima ni chakula kinachotambulika zaidi nchini Kenya. Sima pia huitwa ugali. Hutayarishwa kwa kusonga unga wa mtama, mahindi au muhogo kwenye maji moto yaliyochemka. Sima huliwa kwa kitoweo cha nyama ama mboga za majani aghalabu. Uwapo na ugali na mboga, ijapokuwa mboga zaweza kuwa kidogo, utaona kama umekula vyema, Sima yajua kucheza na akili aisee 😁 Ujapo Kenya, usichelee kujaribu mlo huu uwezao kuliwa wakati wowote.
0:44
2024년 8월 8일 오후 1:06

집에서 편안하게 언어를 배울 수 있는 기회를 놓치지 마세요. 경험 많은 강사진을 살펴보고 지금 바로 첫 수업을 신청하세요!