Search from various 영어 teachers...
박희섭(Heesob Park)
What does "itachukua" mean? In the following sentence, what does "i" of itachukua mean? Itachukua masaa mangapi? Itachukua masaa manne. Itachukua can be mean they will take(class 4) or it will take(class 9) What does "i" refer?
2018년 7월 28일 오후 1:56
답변 · 5
"I" imetumika badala ya Jina la kitu abacho hakina huai kwa mfano "chai itachukua masaa matatu kuchemka"
2018년 7월 29일
'I' imetumika kuashiria kitu fulani ambacho hakina uhai na kiko katika ngeli ya I-ZI 'I' Pia imetumika katika neno ' itachukua' kuashiria muda ambao utatumika na chombo fulani
2020년 7월 8일
"I" inaimanisha kitu fulani ambacho hakina uhai
2018년 7월 29일
"I" inaimanisha kitu fulani ambacho hakina uhai
2018년 7월 29일
아직도 답을 찾지 못하셨나요?
질문을 남겨보세요. 원어민이 도움을 줄 수 있을 거예요!

집에서 편안하게 언어를 배울 수 있는 기회를 놓치지 마세요. 경험 많은 강사진을 살펴보고 지금 바로 첫 수업을 신청하세요!