Want to one day be a Swahili teacher (one can dream) and need to get some experience doing it as I have never done this before. Feel free to contact me and I would be happy to help you practice your Swahili. I am currently learning French, so if you are a native speaker, or know French, I would be grateful to learn something as well.
TRANSLATION:
Ninataka siku moja kuwa mwalimu wa lugha ya kiswahili (kila mtu ana ndoto zake) na nahitaji kupata uzoefu huo kwasababu sijawai kumfundisha mtu yoyote. Jisikie huru kunitumia ujumbe na nitakusaidia na kiswahili chako kwa furaha. Pia mimi sasa hivi najifunza kifaransa, kwahiyo kama hiyo ni lugha yako ya kwanza, ama unajua kifaransa, nitafurahi kujifunza kwako pia.
Ahsante