Benjamin
Ninataka kujizoeza, kuandika, kusoma na watu wengine wanaosema Kiswahili. Hamjambo?

Unaitwa Ben. Nilianza kujifunza Kiswahili wiki tatu na nusu zilizopita tu. Nimejifunza sarufi nyingi upesi, lakini ninataka kuandika-andika na kusoma-soma mpaka maneno yatakaa kichwani mwangu kwa sababu mimi huforget maneno yote niliyojifunza.

Ninaishi mjini Berlin, lakini unatoka Australia. Nilikuja hapa mwaka elfu mbili kumi na tatu. Lugha yangu ya kwanza ni kiingereza lakini ninasema kijerumani vizuri pia.

Ukipenda utaweza kuandika hapa chini au kwa private message ... au pote pawili ikiwa ukitaka.
Apr 18, 2017 11:13 PM
Comments · 7
Nice job Ben! Umejifunza mingi sana katika muda mfupi.
July 31, 2017

Hujambo Ben

Inaonekana umejifunza maneno mengi ya kiswahili kwa muda mfupi sana .

Ingawa bado kuna makosa kidogo  kama vile:

Unaitwa>Ninaitwa

huforget>husahau

unatoka.>ninatoka.

mimi ni mwalimu wa kiswahili ninaweza kukusaidia.

April 6, 2018
Hamjambo? 

Ninaitwa Ben. Nilianza kujifunza lugha ya Kiswahili majuma matatu na nusu yailiyopita tu ingawa nimejifunza sarufi nyingi upesi. Hata hivyo ninataka kuweza kuandika na kusoma mpaka maneno yawezee kubaki kichwani mwangu kwa sababu mimi husahau maneno yote niliyojifunza.

Ingawa ninatoka nchi ya Australia ninaishi hapa mjini Berlin ambapo nilikuja mwaka wa elfu mbili na kumi na tatu. Lugha yangu ya kwanza ni kiingereza lakini pia ninaweza kuzungumza kijerumani vyema. 

Iwapo ungependa kuzungumza nami unaweza kuniandikia maoni hapa chini au ujumbe wa faraga(Private message) au pote pawili. 
April 2, 2018

Habari Ben!

Inaelekea unaweza kujifundisha lugha mpya haraka tu.

Inaelekea una bidii

sawa kabisa

nina 'forget'  ni ninasahau

kusema is to tell

ninazungumza is to speak

ni bora kusema ninazungumza kijerumani vizuri pia.

ukipenda unaweza kuandika hapa chini au kwenye.......

ukitaka ,hakuna haja ya kuandika ikiwa ukitaka

hayo tu ,

kazi nzuri kweli ukiangalia huo muda ambao ulichukua kuchifunza mpaka hapo

hongera!

October 12, 2017
Nice job Ben! But note a few mistakes: Ninaitwa/naitwa instead of "unaitwa" (Ninaitwa-I'm called..Unaitwa-you're called)...... I'm a swahili teacher I can help you improve more
October 5, 2017
Show more