Kiswahili ni lugha ambayo ina asili nyingi sana.
Kinaweza kuwa kilizaliwa kutokana na biashara
kati ya Wapwani na wataliii wa kwanza katika
Afrika ya mashariki.Kiswahili pia ni mwigo wa lugha
za kibantu.
Wewe umeelewa aje chimbuko la lugha hii?