Check out our updated Community
zachariah getubo
Community Tutor
SIKUKUU YA PASAKA Pasaka ya Kikristo ni sikukuu ya kufanya ukumbusho wa kufufuka kwake Yesu Kristo siku ya tatu baada ya kusulubiwa, kufa na kuzikwa kwake.

Inahesabiwa kuwa sikukuu muhimu kabisa katika madhehebu mengi ya Ukristo, kwa sababu ufufuko huo ndio msingi wa imani ya Kikristo. Mtume Paulo aliandika kwamba Kristo asingefufuka, imani hiyo ingekuwa haina maana, kwa kuwa asingeondolea dhambi za watu.

Nawatakieni sikukuu njema.


someone please write in Italian.

Mar 30, 2018 10:05 AM
Comments · 0
No comments yet
zachariah getubo
Language Skills
English, Italian, Other, Swahili
Learning Language
Italian