Kwa hakika kiswahili ni mchanganyiko wa lugha.
CHIMBUKO LA KISWAHILI 2
Kiswahili ni lugha ambayo msingi wake ni lugha za kibantu. Hii ni kwa sababu kimeweza kuiga maneno mengi kutoka kwa lugha za kibantu. Maneno kama vile
BANTU (GIKUYU) SWAHILI
Mrago mlango
Chumbi chumvi
Modo mtu
Shuma chuma
Maneno haya, ni yale yale ila tu yamebadilika kidogo tu.