zachariah getubo
Community Tutor
SWAHILI 101

JE KUNA TOFAUTI YA PINDUKA NA GEUKA?

Vyote ni vitenzi vya kiswahili, ingawa Kupinduka ni kwa gari; hususan  hutumiwa na kuambatana na nomino za ngeli ya LI-YA. 

May 29, 2018 6:12 PM