JE KUNA TOFAUTI YA PINDUKA NA GEUKA?
Vyote ni vitenzi vya kiswahili, ingawa Kupinduka ni kwa gari; hususan hutumiwa na kuambatana na nomino za ngeli ya LI-YA.