Mr:Nuhu
nataka watu kuni saidia kujifunza kiswahili

mimi ni mchina,nataka kujifunza kiswahili,mimi sasa naishi katika tanzania,kuna waswahili wanaweza kunisaidia kufundisha kiswahili?

Feb 23, 2015 9:51 AM
Comments · 2

Ndio mimi naweza kukusaidi.

March 6, 2015

Naweza kukusaidia. Umezungumza kiswahili tangu lini?

February 23, 2015
Mr:Nuhu
Language Skills
Chinese (Mandarin), Portuguese, Swahili
Learning Language
Portuguese, Swahili