Sheen A.
Hali ya hewa leo kuna baridi sana! Ni tatu china ya sifuri celsius hapa mji ya New York. Kuma pia thuluji tangu wiki iliyopita. Mimi napenda kuona hali ya hewa kama hivi lakini sipendi kuondoka.
12 Şub 2021 22:56
Düzeltmeler · 3
1
Hali ya hewa leo ni ya baridi kubwa ! Kipimo cha joto ni tatu chini ya sufuri hapa mjini New York. Kumekuwa pia na kumwagika kwa theluji tangu wiki iliyopita. Napenda kuona hali ya hewa kama ilivyo, ila sipendi kuondoka.
17 Şubat 2021
Daha hızlı mı ilerlemek istiyorsun?
Bu öğrenme topluluğuna katıl ve ücretsiz alıştırmaları dene!