Çeşitli İngilizce öğretmenleri arasından arama yapın...
Tye
Hujambo kila mtu, mimi ni mwanafunzi muundo wa mitindo Mmarekani, kwa sasa anasoma Kiswahili. kusikiliza nyimbo inasaidia sana kusoma lugha. Unaweza kupendekeza nyimbo yoyote? Asante sana! x

Düzeltmeler · 3

0
Hamjambo nyote, mimi ni mwanafunzi Mmarekani wa muundo na mitindo, kwa sasa nasoma Kiswahili. kusikiliza nyimbo kunasaidia sana kusoma lugha. Unaweza kupendekeza nyimbo zozote? Asante sana! x
Hujambo Tye, nyimbo za "Taarab" hutumia lugha ya Kiswahili kwa ufasaha na kwa kuzisikiliza utaweza kuimarisha ujuzi wako katika lugha. Nyimbo hizi zaweza kupatikana katika mtandao wa " YouTube", natumai utaweza kusaidika
0
Hujambo kila mtu, mimi ni mwanafunzi muundo wa mitindo Mmarekani, kwa sasa anasoma Kiswahili. kusikiliza nyimbo inasaidia sana kusoma lugha. Unaweza kupendekeza nyimbo yoyote? Asante sana! x
Hujambo Tye. Mimi pia ni mwalimu wa Kiswahili na ninaweza kukusaidia kukinata. Hi Tye I'm also a Swahili tutor. I can help you grasp it. Be sure to join my lessons 😊
0
Hujambo kila mtu, mimi ni mwanafunzi wa muundo mitindo Mmarekani, kwa sasa ninasoma Kiswahili. kusikiliza nyimbo husaidia sana kusoma lugha. Unaweza kupendekeza wimbo wowote/ nyimbo zozote? Asante sana!

Daha hızlı mı ilerlemek istiyorsun?

Bu öğrenme topluluğuna katıl ve ücretsiz alıştırmaları dene!

Evden çıkmadan dil öğrenme fırsatını kaçırmayın. Deneyimli dil eğitmenlerimizden oluşan seçkimize göz atın ve ilk dersinize şimdi kaydolun!

Bugün öğrenmeye başlayın