Çeşitli İngilizce öğretmenleri arasından arama yapın...
Austin
Profesyonel ÖğretmenMimi na mke wangu tutaenda nyumbani kwa rafiki yetu. Nafurahi sana kwa sababu nimeshikwa na kazi na masomo kwa muda mrefu kwa hivyo hii ni nafasi ya kupumzika kidogo. Mimi ni mwanafunzi wa shahada ya uzamili na juma hili ni juma la livu. Hata hivyo, kwa sababu nina kazi nyingi, ninahitaji kufanya mazoezi na kusoma hata sasa. Nitafurahi sana mwisho wa juma utakapofika kwa sababu nitaweza kutumia muda na mke wangu na rafiki zangu bila kuwa na wasiwasi kuhusu masomo yangu.
16 Mar 2022 23:26
Austin
Dil Becerileri
Amharca, Çevaca (Chichewa), İngilizce, İspanyolca, Svahili, Zulu
Öğrenim Dili
Zulu
Beğenebileceğin Makaleler

Same Word, Different Meaning: American, British, and South African English
21 beğeni · 17 Yorumlar

How to Sound Confident in English (Even When You’re Nervous)
15 beğeni · 12 Yorumlar

Marketing Vocabulary and Phrases for Business English Learners
13 beğeni · 6 Yorumlar
Daha fazla makale
