Mnajua vitendawili?
Vitendawili vinaweza kukusaidia kujua maneno mbalimbali na maana zao na pia kuongeza msamiati yako.
I'm talking about riddles here. You can learn a lot about how words are expressed in different ways in a language.
Nitaanza na kitendawili kimoja rahisi:
"Nyumba yangu haina dirisha wala mlango."
Jibu halafu pia uliza yako. Hata mimi ninatamani kufunzwa vile nisivyojua.
hilo ndilo jibu sahihi
Una chako?
mayai?