blubi01
Naomba msaada kwa Kiwahili? Jambo, naitwa Bernhard na natoka Ujermumani. Nina miaka hamsini na mitano na nimeanza kusoma Kiswahili juzijuzi. Kwa bahati mbaya, ninaweza kusema tu kidogodogo. Ninanitaka mbia wa lugha ambaye ananisaidia kwa lugha ya Kiswahili, kwa badilishiano nitafunza Kijerumani. Please excuse my terrible Swahili, but this was the first try to write some sentences! Kwa heri! Bernhard
٢٦ مايو ٢٠١٣ ١٤:٤٣
التصحيحات · 4

Naomba msaada kwa Kiswahili?

Jambo, jina langu ni Bernhard kutoka Ujerumani. Nina umri wa miaka hamsini na mitano na nilianza kusoma Kiswahili juzi juzi. Kwa bahati mbaya, ninaweza kusema kidogo kidogo tu. Ninamtafuta mjuzi wa lugha ambaye atanisaidia kuimarisha Kiswahili changu- kwa badilishano nitamfunza Kijerumani.

Please excuse my terrible Swahili, but this was the first try to write some sentences!

Kwaheri!

Bernhard

٢١ نوفمبر ٢٠١٣

Naomba msaada kwa Kiwahili?

Jambo, naitwa Bernhard na natoka Ujermumani. Nina miaka hamsini na mitano na nimeanza kusoma Kiswahili juzijuzi. Kwa bahati mbaya, ninaweza kusema tu kidogodogo. Ninanitaka mbia wa lugha ambaye ananisaidia kwa lugha ya Kiswahili, kwa badilishiano nitafunza Kijerumani.

Please excuse my terrible Swahili, but this was the first try to write some sentences!

Kwa heri!

Bernhard

١١ سبتمبر ٢٠١٣
sentensi yako iko vizuri haujakoea, hongera sana But you are so elder why you still want to learn more Languages?
١١ سبتمبر ٢٠١٣
هل تريد التطور بشكل أسرع؟
انضم لمجتمع التعلّم هذا وجرّب التمرينات المجانية!