Zack
Jambo Jambo, ninaitwa Zack, mimi ni kujaribu kujifunza kiSwahili. Ninazungumza Kiingereza na KihiSpana kita, na kiSwahili kidogo. Ninatokea Umerakani. Mimi kama musiki.
٣ يناير ٢٠١٤ ٢٣:١٩
التصحيحات · 4
1

 Jambo

Jambo, ninaitwa Zack, mimi ni ku ni     ninajaribu kujifunza kiSwahili. Ninazungumza Kiingereza na KihiSpana kita, pia na kiSwahili kidogo. Ninatokea Umerakani. Mimi kama musik  ninapenda music.

Good you try.

 

 

١٦ يناير ٢٠١٤
1

Jambo

Jambo, ninaitwa naitwa Zack, mimi ni kujaribu najaribu kujifunza kiSwahili. Ninazungumza Kiingereza na KihiSpana kita,pia, na kiSwahili kidogo. Ninatokea Umerakani Marekani. Mimi kama napenda musiki muziki

٢٤ يناير ٢٠١٤
Zack, ningependa nikusaidia kujifunza kiswahili. Jiunge nami katika Skype. Asante
٢٣ فبراير ٢٠١٤
هل تريد التطور بشكل أسرع؟
انضم لمجتمع التعلّم هذا وجرّب التمرينات المجانية!