Kiswahili
Jambo-mambo! Ninamwanzo kujifunza ligha hii ni Kiswahili kizuri miaka miwili iliyopita na nafurahi nilifanya hivyo! Ninataka kusema asante kwa mtandao Italki kwa sababu nimeona hapa marafiki mapya na maema sana! Ninapenda Africa kabisa lakini naishi Urusi. Nchi yangu mkubwa na mguvu napenda pia!
ابحث بين معلمي الإنجليزية المتعددين...
التصحيحات · 3
0
Kiswahili
Jambo-mambo! Ninamwanzo kujifunza ligha hii ni Kiswahili kizuri miaka miwili iliyopita na nafurahi nilifanya hivyo! Ninataka kusema asante kwa mtandao Italki kwa sababu nimeona hapa marafiki mapya na maema sana! Ninapenda Africa kabisa lakini naishi Urusi. Nchi yangu mkubwa na mguvu napenda pia!jambo!nilianza kujifunza lugha hii nzuri ya kiswahili miaka miwili iliopita na nafurahi nilifanya hivyo. Ningependa kusema asante kwa mtandao wa italki kwa sababu nimeona hapa marafiki wapya na wema.Ninapenda Afirka kabisa lakini ninaishi Urusi.Nchi yangu ni kubwa na yenye nguvu.Naipenda pia.
0
Jambo! Ninafurahi kuona unajifunza Kiswahili. Ninakutakia mema na ukihitaji usaidizi wowote usigope kuniuliza.
0
Pole, nimefanya kosa: lugha na si ligha!
هل تريد التطور بشكل أسرع؟
انضم لمجتمع التعلّم هذا وجرّب التمرينات المجانية!
لا تفوّت فرصة تعلّم لغة جديدة وأنت مرتاح في منزلك. تصفّح مجموعتنا المختارة من مدرّسي اللغات ذوي الخبرة وسجّل في درسك الأول الآن!
ابدأ التعلم اليوم
