Tamika
Kuhusu Mwenyewe Ninatoka New York, NY. Mimi ni mwanafunzi wa Kiswahili katika chuo kikuu katika Merikani. Ninapenda sana muziki. ninapenda kuangalia maonyesha ya televisheni kama Arrow, Flash, Empire na Scandal. ninataka kusafiri Tanzania majira ya joto hii kama inawezakana.
2015年2月14日 07:12
訂正 · 4
mini kuangalia Empire pia, ni nzuri sana. Ninatoka Florida na mimi ni kajaribu kujifunza swahili pia.Mimi Kujifuza online na Rosetta Stone na audio lessons. nina familia katika Tanzania. nataka kujifunza swahili kuongea nao.
2015年3月16日
Asante Sana walimu!!
2015年2月14日
Sio mbaya, umejitahidi tuu.
2015年2月14日
Good Try!! Chuo kikuu kilichopo marekani, its not KATIKA marekani,,,,And Maonyesho its Not MAONYESHA,, all in all good try!!
2015年2月14日
もっと早く上達したいですか?
この学習コミュニティに参加して、無料の練習問題を試してください!