Seif
Kwa wanaojifunza kiswahili Najua kuna watu wanapenda kujifunza Kiswahili. Msijali na karibuni sana, naweza nikawasaidia. Tutasaidiana na tutafika tuu msijali
2015年2月14日 12:16
訂正 · 4
Naishi Dar, ila nipo Mwanza kwa sasa.
2015年3月2日
unaishi wapi?
2015年2月23日
poa usijali
2015年2月18日
kaka yangu,mambo vipi,unaishi wapi?tutaweza ku onana?unaweza ku saidie mm kujifunza kiswahilli?
2015年2月16日
もっと早く上達したいですか?
この学習コミュニティに参加して、無料の練習問題を試してください!