多彩な 英語 講師陣から検索…
Вячеслав
Kiswahili Jambo-mambo! Ninamwanzo kujifunza ligha hii ni Kiswahili kizuri miaka miwili iliyopita na nafurahi nilifanya hivyo! Ninataka kusema asante kwa mtandao Italki kwa sababu nimeona hapa marafiki mapya na maema sana! Ninapenda Africa kabisa lakini naishi Urusi. Nchi yangu mkubwa na mguvu napenda pia!

訂正 · 3

0

Kiswahili

Jambo-mambo! Ninamwanzo kujifunza ligha hii ni Kiswahili kizuri miaka miwili iliyopita na nafurahi nilifanya hivyo! Ninataka kusema asante kwa mtandao Italki kwa sababu nimeona hapa marafiki mapya na maema sana! Ninapenda Africa kabisa lakini naishi Urusi. Nchi yangu mkubwa na mguvu napenda pia!


jambo!nilianza kujifunza lugha hii nzuri ya kiswahili miaka miwili iliopita na nafurahi nilifanya hivyo. Ningependa kusema asante kwa mtandao wa italki kwa sababu nimeona hapa marafiki wapya na wema.Ninapenda Afirka kabisa lakini ninaishi Urusi.Nchi yangu ni kubwa na yenye nguvu.Naipenda pia.

0
Jambo! Ninafurahi kuona unajifunza Kiswahili. Ninakutakia mema na ukihitaji usaidizi wowote usigope kuniuliza.
0
Pole, nimefanya kosa: lugha na si ligha!

もっと早く上達したいですか?

この学習コミュニティに参加して、無料の練習問題を試してください!

ご自宅で快適に語学を学べるチャンスをお見逃しなく。経験豊富な語学講師陣の中からお選びいただき、今すぐ最初のレッスンにお申し込みください!

今すぐ学習を始める