Mazoezi 4
Anapenda kuchora.
Unataka kufanya safari?
Ninapenda kushona na unapenda kufanya nini?
Mgeni anataka kustarehe.
Unapenda kusoma nini?
Baba anataka kukaa wapi?
Mama anapenda kupika na baba kusoma gazeti.
Leo jioni ninataka kuandika barua.
多彩な 英語 講師陣から検索…
訂正 · 4
0
Mazoezi 4
Anapenda kuchora.Unataka kufanya kwenda (you go for a safari, not do a safari)safari?
Ninapenda kushona, na wewe unapenda kufanya nini?
Mgeni anataka kustarehe.
Unapenda kusoma nini?
Baba anataka kukaa( to live ) if you meant to sit down it would be keti wapi?
Mama anapenda kupika na baba kusoma gazeti.
Leo jioni ninataka kuandika barua.
0
Thank you, Jackline!)
0
Good work!
もっと早く上達したいですか?
この学習コミュニティに参加して、無料の練習問題を試してください!
ご自宅で快適に語学を学べるチャンスをお見逃しなく。経験豊富な語学講師陣の中からお選びいただき、今すぐ最初のレッスンにお申し込みください!
今すぐ学習を始める
