Insha yangu ya kwanza katika Kiswahili
Hamjambo? Habari zenu? Nimefuhari kukutana nanyi! Jina langu Marcel. Mimi ni Mbrazil. Ninaishi magharibi ya jimbo la Sao Paulo. Nina umri wa miaka thelathini na minane. Mimi ni mtumishi wa umma — ninafanya kazi ya katibu shule. Nimeoa na tuna wana wawili; wote ni wavulana. Aidha tuna paka watatu na samaki mmoja.
Napenda kujifunza lugha ya kigeni. Lugha yangu ya asili ni Kireno na ninasema Kiingereza pia. Nimekuwa nikijifunza Kiswahili peke jangu kwa majuma matatu. Ni lugha ya kuvutia!
Kwa herini!
多彩な 英語 講師陣から検索…
訂正 · 3
1
Insha yangu ya kwanza katika Kiswahili
Hamjambo? Habari zenu? Nimefuhari kukutana nanyi! Jina langu Marcel. Mimi ni Mbrazil. Ninaishi magharibi ya jimbo la Sao Paulo. Nina umri wa miaka thelathini na minane. Mimi ni mtumishi wa umma — ninafanya kazi ya katibu shule. Nimeoa na tuna wana wawili; wote ni wavulana. Tuna paka watatu na samaki mmoja.Napenda kujifunza lugha ya kigeni. Lugha yangu ya asili ni Kireno na ninasema Kiingereza pia. Nimekuwa nikijifunza Kiswahili pekee yangu kwa majuma matatu. Ni lugha ya kuvutia!
Kwaherini!
1
Insha yangu ya kwanza katika Kiswahili
Hamjambo? Habari zenu? Nimefuhari kukutana nanyi! Jina langu ni Marcel. Mimi ni Mbrazil. Ninaishi magharibi ya jimbo la Sao Paulo. Nina umri wa miaka thelathini na minane. Mimi ni mtumishi wa umma — ninafanya kazi ya katibu shule. Nimeoa na tuna wana wawili; wote ni wavulana. Aidha tuna paka watatu na samaki mmoja.Napenda kujifunza lugha ya kigeni. Lugha yangu ya asili ni Kireno na ninasema ninazungumza Kiingereza pia. Nimekuwa nikijifunza Kiswahili peke jangu yangu kwa majuma matatu. Ni lugha ya kuvutia!
Kwa herini!
Your swahili is very good, i'm impressed. Keep it up.
もっと早く上達したいですか?
この学習コミュニティに参加して、無料の練習問題を試してください!
ご自宅で快適に語学を学べるチャンスをお見逃しなく。経験豊富な語学講師陣の中からお選びいただき、今すぐ最初のレッスンにお申し込みください!
今すぐ学習を始める
