Search from various Engels teachers...
Austin
Professionele leerkrachtMimi na mke wangu tutaenda nyumbani kwa rafiki yetu. Nafurahi sana kwa sababu nimeshikwa na kazi na masomo kwa muda mrefu kwa hivyo hii ni nafasi ya kupumzika kidogo. Mimi ni mwanafunzi wa shahada ya uzamili na juma hili ni juma la livu. Hata hivyo, kwa sababu nina kazi nyingi, ninahitaji kufanya mazoezi na kusoma hata sasa. Nitafurahi sana mwisho wa juma utakapofika kwa sababu nitaweza kutumia muda na mke wangu na rafiki zangu bila kuwa na wasiwasi kuhusu masomo yangu.
16 mrt. 2022 23:26
Austin
Taalvaardigheden
Amhaars, Chewa (Chichewa), Engels, Spaans, Swahili, Zoeloe
Taal die wordt geleerd
Zoeloe
Artikelen die je misschien ook leuk vindt

Same Word, Different Meaning: American, British, and South African English
21 likes · 17 Opmerkingen

How to Sound Confident in English (Even When You’re Nervous)
15 likes · 12 Opmerkingen

Marketing Vocabulary and Phrases for Business English Learners
13 likes · 6 Opmerkingen
Meer artikelen
