Lena
Just an introduction Hujambo! Jina langu ni Lena. Ninatoka Uswedi. Ninasema Kiswidi na Kiingereza. Mimi kujifunza Kiswahili. Ninasema Kiswahili kidogo tu. Nimekuwa kwa Kenya. Mimi nataka kurudi. I miss marafiki zangu. Nakutakia siku njema!
30 jun. 2014 09:30