Search from various angielski teachers...
Austin
Profesjonalny nauczycielMimi na mke wangu tutaenda nyumbani kwa rafiki yetu. Nafurahi sana kwa sababu nimeshikwa na kazi na masomo kwa muda mrefu kwa hivyo hii ni nafasi ya kupumzika kidogo. Mimi ni mwanafunzi wa shahada ya uzamili na juma hili ni juma la livu. Hata hivyo, kwa sababu nina kazi nyingi, ninahitaji kufanya mazoezi na kusoma hata sasa. Nitafurahi sana mwisho wa juma utakapofika kwa sababu nitaweza kutumia muda na mke wangu na rafiki zangu bila kuwa na wasiwasi kuhusu masomo yangu.
16 mar 2022 23:26
Austin
Znajomość języków
amharski, czewa (cziczewa), angielski, hiszpański, suahili, zulu
Język do nauczenia się
zulu
Artykuły, które również mogą ci się spodobać

Same Word, Different Meaning: American, British, and South African English
21 głosy poparcia · 17 Komentarze

How to Sound Confident in English (Even When You’re Nervous)
15 głosy poparcia · 12 Komentarze

Marketing Vocabulary and Phrases for Business English Learners
13 głosy poparcia · 6 Komentarze
Więcej artykułów
