Susanne
Mimi nataka kujifunza Kiswahili kwa ajili yangu ya kwenda Mombasa na kazi katika nyumba ya yatima. Jina langu ni Susanne, na mara ndoto ya kuja kweli :))
4 wrz 2012 05:42
Poprawki · 3

Mimi nataka kujifunza Kiswahili kwa ajili yangu ya kwenda kuenda Mombasa na kufanya kazi katika nyumba ya mayatima.

Jina langu ni Susanne, na mara hii ndoto ya yangu imekuwa kuja kweli. :))

14 września 2012
I know a woman near Mombasa who works with orphans and disadvantaged children.
13 września 2012

ningependa kujifunza Kiswahili kwa ajili  ya kwenda Mombasa, kufanya  kazi katika nyumba za mayatima.

Jina langu ni Susanne, nina ndoto ya kwenda kuja huko

13 września 2012
Chcesz robić postępy szybciej?
Dołącz do społeczności uczących się i wypróbuj darmowe ćwiczenia!