Szukaj różnych nauczycieli angielski...
Daniel.Anderson
Please excuse my horrible Swahili, I promise to improve ^__^
Kila mtu habari!!! Jina langu Daniel Anderson na mimi ni kumi na nane. Naandika jarida hii kwa sababu nataka practice Kiswahili changu mengi. Nilikaa Scarborough Ontario na nilikuwa na Marafiki wanatoka Kenya na wanasema kiswahili. Lakini back then mimi ni mtoto mdogo na sitaki kujifunza Kiswahili, kwa ajili ya sijifunzi. Lakini sasa that I am older nataka kujifunza lugha I used to hear zaidi kila siku. Kiswahili ni tofauti sana kutoka kingerza lakini nimeipenda sana. Sisemi kuwa na marafiki wangu lakini I try kujifunza kila siku. Mimi siyo njema sana yet lakini nitapata pale siku moja. Kwa herini.
Kuwa na salama
-Daniel Anderson
4 maj 2013 02:10
Daniel.Anderson
Znajomość języków
angielski, hiszpański, suahili
Język do nauczenia się
hiszpański, suahili
Artykuły, które również mogą ci się spodobać

English Vocabulary for Using Microsoft Office at Work
28 głosy poparcia · 7 Komentarze

How to Answer “How Was Your Weekend?” Naturally in English
56 głosy poparcia · 30 Komentarze

Why Some Jokes Don’t Translate: Understanding Humor in English
15 głosy poparcia · 6 Komentarze
Więcej artykułów
