Namba
Today I was practicing some numbers in Swahili.
59 = Hamsini na tisa
234 = Mia mbili thelathini na nne
452 = Mia nne hamsini na mbili
3.689 = Elfu tatu mia sita themanini na tisa
1102 = Elfu mia na mbili
11.765 = Elfu kumi na moja mia saba sitini na tano
105.899 = Laki na tano mia nane tisini na tisa
287.435 = Laki mbili themanini na saba mia nne thelathini na tano
And the hours:
12:45 pm = Saa sita na dakika arobaini na tano mchana
10:32 am = Saa nne na dakika thelathini na mbili asubuhi
04:05 pm = Saa kumi na dakika tano mchana
06:28 pm = Saa kumi na moja na dakika ishirini na nane jioni
08:40 pm = Saa mbili na dakika arobaini usiku