Thomas
Mimi ni mwanafunzi na ninajifunza lugha tatu. Hizo ni kifaranza, kichina na kihispania. Chuo kikuu changu ni Lancaster University, nchini uingereza. Wakati ninajifunza, ninajaribu kusema, kuandika na kusomi. Mwaka ujao, ninataka kujifunza kiswahili katika chuo kikuu katika London. Ninapenda kujifunza lugha!!!
2021年3月5日 01:59
修正 · 2
2
Mimi ni mwanafunzi na ninajifunza lugha tatu. Ambazo ni kifaranza, kichina na kihispania. Chuo kikuu changu ni Lancaster University, nchini uingereza. Wakati ninajifunza, ninajaribu kusema, kuandika na kusoma. Mwaka ujao, ninataka kujifunza kiswahili katika chuo kikuu katika London. Ninapenda kujifunza lugha!!!
2021年3月13日
想進步快一點嗎?
加入此學習社群,來試做免費的練習吧!