搜尋自 英語 {1} 教師……
Austin
專業教師Mimi na mke wangu tutaenda nyumbani kwa rafiki yetu. Nafurahi sana kwa sababu nimeshikwa na kazi na masomo kwa muda mrefu kwa hivyo hii ni nafasi ya kupumzika kidogo. Mimi ni mwanafunzi wa shahada ya uzamili na juma hili ni juma la livu. Hata hivyo, kwa sababu nina kazi nyingi, ninahitaji kufanya mazoezi na kusoma hata sasa. Nitafurahi sana mwisho wa juma utakapofika kwa sababu nitaweza kutumia muda na mke wangu na rafiki zangu bila kuwa na wasiwasi kuhusu masomo yangu.
2022年3月16日 23:26
Austin
語言能力
阿姆哈拉語, 切瓦語 (齊切瓦語), 英語, 西班牙語, 史瓦希里語, 祖魯語
學習語言
祖魯語
你也許會喜歡的文章

Same Word, Different Meaning: American, British, and South African English
21 讚 · 17 留言

How to Sound Confident in English (Even When You’re Nervous)
15 讚 · 12 留言

Marketing Vocabulary and Phrases for Business English Learners
13 讚 · 6 留言
更多文章
