搜索 英語 老師
Mutai Ralph
Malipo katika lugha ya kiswahili
. Kiokozi/kombozi: Malipo ya kukombolea kitu kilichotekwa nyara au kunyakuliwa.
. Urithi: Mali yaachwayo na hayati na kupewa mtu fulani.
. Rehani: Malipo ya kitu kilichowekwa dhamana ili kikombolewe baadaye.
. Pango: Kodi ya nyumba au chumba anayolipa mpangaji kila mwezi au baada ya muda fulani. Honoraria: malipo/ pesa kama bakshishi kwa kufanya kazi maalum.
2018年6月29日 10:04