尋找適合你的 英語 教師……
yaeli.cohen
hujambu, jina langu ni Yaeli.
ninajifunza kiswahili chuoni kikuo lakini ninataka kufanya kazi na kukaa katika africa. lugha yangu ni kihebrania, ninakaa Israel.
2013年1月7日 15:48
修正 · 3
hujambu, jina langu ni Yaeli.
Ninajifunza Kiswahili chuoni kikuo /katika chuo kikuu lakini ninataka kufanya kazi na kukaa katika afrika. Lugha yangu ni Kihebrania, ninakaa Israel.
2013年4月19日
Umeandika vizuri.
hujambu, jina langu ni Yaeli.
-> hujambo
ninajifunza kiswahili chuoni kikuo
-> katika chuo kikuu
or
-> chuoni
lakini ninataka kufanya kazi na kukaa katika africa.
lugha yangu ni kihebrania, ninakaa Israel.
<hamna kosa>
2013年1月26日
Ningependa nikusaidie kujifunza kiswahili ( i would like to help you learn Swahili ) and give you the latest economic and political views of Africa. Asante
2013年1月15日
想進步快一點嗎?
加入此學習社群,來試做免費的練習吧!



