marie
Nitaanza kufanya kazi. Mimi ninaitwa Marie. Nina msichana, ana mwaka mmoja. Nitaanza kufanya kazi tangu mwezi ujao. Msichana wangu ataenda shuleni ya mtoto. Nafanya wasiwasi. Nitajaribu tu!
2014年1月18日 04:59
修正 · 2

Nitaanza kufanya kazi.

Mimi ninaitwa Marie.
Nina mtoto mdogo wa kike msichana, ana mwaka mmoja. 

Nitaanza kufanya kazi tangu mwezi ujao.
Msichana Mtoto wangu ataenda shuleni ya mtoto watoto (or you can say chekechea). 
Nafanya wasiwasi. a)THIS LINE I DON'T REALLY UNDERSTAND

Nitajaribu tu! Ipo siku utajua, ongeza na bidii.

                    UMEJITAHIDI SANA.

 

 

2014年1月23日
想進步快一點嗎?
加入此學習社群,來試做免費的練習吧!