Amy
Habari swali :) Mimi nataka soma kiswahili habari. Lakini si jui ipi habari website ni nzuri. Unasoma kiswahili habari website ipi? Asante! :)
2014年5月3日 19:29
修正 · 2
1

Habari swali :)

Mimi nataka soma kiswahili habari.
Lakini si jui ipi habari website ni nzuri.
Unasoma kiswahili habari website ipi?

Asante! :)

Habari? Niko na swali..

Ninataka kujifunza kiswahili, lakini sijui tovuti gani ni nzuri.Je mnaweza niambia ni ipi website(tovuti) nzuri ili nijifunze kwenye intaneti?

 

2014年5月11日
想進步快一點嗎?
加入此學習社群,來試做免費的練習吧!