Amy
Tembo na mbuyu Tembo anaisha chini ya mbuyu. Lakini anataka kuishi chini ya mgomba. Kifaru anaisha chini ya mgomba kwa kuwa anapenda ndizi. Tembo atapenda kifaru kama jirani badala ya nyani. Kwa kuwa nyani ni ndizi la mwizi!
2014年5月17日 03:15
修正 · 1

Tembo na mbuyu

Tembo anaishaanaishi chini ya mbuyu lakini anataka kuishi chini ya mgomba.
Kifaru anaisha anaishi chini ya mgomba kwa kuwa anapenda ndizi.
Tembo atapenda kifaru kama jirani badala ya nyani kwa kuwa nyani ni mwizi wa ndizi. ndizi la mwizi.

2014年6月1日
想進步快一點嗎?
加入此學習社群,來試做免費的練習吧!