Sentensi baadhi
Ndege ya Brooklyn inaondoka lini?
Sinajua lakini nafikiri iliondoka mchana. Pole
Watoto watafika wakati gani?
Watafika jioni. Watawapa chakula cha bahari. Samaki.
Leo nitakusimulieni kisa kijerumani. Inaitwa Dornröschen
Kesho kutwa nitakusimulieni visa vijerumani viwili.
Sikilizeni vizuri.
Leo mimi nakula pilau. Mimi nakipenda sana.
Chukua kitabu hiki. Ni kitabu kukujifundisha swahili. / Ni kitabu cha kujifundisha swahili
Leo sina haja nitakichukua kesho.
Ahsante sana