sea.piglet
Hello! Hello! Jina langu ni Beki. Nimefurahi kukutana na wewe. Jina lako na nina? Mimi ni Muamerika. Nina miaka ishirini na tisa.
2015年6月13日 14:55
修正 · 2
2

Hello!

Hello! Jina langu ni Beki. Nimefurahi kukutana na wewe. Jina lako nani? Mimi ni Muamerika. Nina miaka ishirini na tisa.

2015年7月28日
Nimefurahia kujuana na wewe me ni mkenya na kwa majina naitwa Emmanuel .Ninapendezwa ulivyo na ujuzi wa kukiandika kiswahili tia bidi ukite mizizi katika lugha hii tamu kutoka Afrika Mashariki
2015年9月10日
想進步快一點嗎?
加入此學習社群,來試做免費的練習吧!